BORESA TRADITIONAL MEDICINE CL
tiba asisili ya mimea
Tunafurahi kuwaalika
kushiriki baraka zilizokutembelea leo kwa njia ya ujumbe huu
wenye tumaini la ukombozi dhidi ya matatizo ya ya
magonjwa yanayokusumbua kwa muda mrefu sasa mpaka kiasi cha kukatisha
tama ya kuioshi,sasa karibu ufuatane nasi ili upate kujuwa huduma zetu
kwa undani,BORESA TRADITIONAL MEDICINE COMPANY LTD ni
kampuni ya kizalendo ambayo inajishughulihs a za uzalishaji wa
madawa,viungo vya aina mbalimbali vya chakula na kufanya utafiti wa
namna ya kuyakabili magonjwa mbalimbali yanayozidi kuibua kila kuchao.
Lakini kubwa zaidi
tumefungua kituo cha kisasa kwa ajili ya matibabu ya binadamu kwa
kutumia tiba za asili zinazotokana na mbegu,matunda,maua,majani, asali
mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo,nafaka,na mimea tiba kwa
ujumla.
Dawa zetu hutengenezwa
kwa kuchaganya na asali, na kwa namna ya kustaajabisha
dawa zetu zimeonnyesha uwezo mkubwa katika kutibu magonjwa mengi
yaliyoshindikana kwa wagonjwa kutoka katika
mikoa mbalimbali,na nchi jirani za Kenya,Malawi na Zambia,baadhi ya
magonjwa hayo ni maradhi ya moyo kwa ujumla,moyo kutanuka,tunmdu katika
moyo,kupooza(kisukari),Bp, kifua kikuu nk.
Magonjwa mengine ni
saratani (cancer) za aina mbalimbali,macho,vidonda vya tumbo,athma
(pumu)kikohozi,amoeba,typhoid, maumivu ya mifupa,maralia
sugu,kuimarisha mfumo wa uzazi,kuondoa sumu mwilini,kusafisha
kizazi,kuimarisha kumbukumbu,kifafa,meno,uzazi wa mpango,mapafu,chembe
ya moyo,magonjwa ya zinaa.
Pia kuimarisha mfumo wa
kinga ya mwili kwa haraka,siko seli,maradhi ya kuishiwa damu nk.Hayo ni
baadhi tu ya magonjwa tunayoshughulika nayo katika kituio chetu.
Pia tunamshukuru
mwenyezi mungu kwa kutuwezesha kutengeneza dawa zenye uwezo
mkubwa wa kutibu magonjwa mengi nyemelezi pamoja na kupunguza makali ya
ugonjwa wa ukimwi na hivyo kurefusha maisha ya waathirika bila athari
yeyote.
Baada ya kutumia dawa
zetu huchuykua muda mfupi kuleta mnatokeo na hutumika kwa muda
mfupi,baaadhi ya dawa hizo ni
- BORESA LEAVES ANTIBODY
- NATURAL ANTIBIOTIC
- BARAKA HMC
- MAFUTA YA UBUYU NA MLONGE
- BORESA dvt- na nyingine nyingi.
Maandalizi ya bidhaa
zetu huzingatia kanuni bora za usindikaji asali, na vyakula na mimea
tiba kufuatia matokeo ya tafiti zilizofanyika sehemu mbalimbali duniani
na tafiti zetu wenyewe kwa kutumia uzoefu wa vizazi vilivyotangulia hapa
Tanzania pamoja na kumwomba mwenyezi mungu (Ezekiel 47:12).bila
kuhusisha nguvu za giza ,hiyo ndiyo dira ya mafanikio yetu.
Tunapenda kusema
hatuzujuwi wala hatuhusiki kutoa huduma za mambo yenye mwelekeo wa imani
za kishirikina.Kwa sababu hiyo bidhaa na huduma zetu ni salama kwa
matumizi ya watu wa matabaka mbalimbali kiimani.
(Kampuni ya
Boresa)Inaamini kwamba matumizi ya vyakula vilivyozalishwa kwa mbolea
zisizo na asili na kutibiwa kwa dawa zenye sumu za kuulia wadudu,ulaji
mbaya,unywaji bila kusahau dhambi zinazosababisha baadhi ya magonjwa ni
kiwanda kikubwa cha kuzalisha magonjwa mengi sugu kiasi kwamba miili
yetu sasa imekuwa kama dampo la sumu,kutokana na matatizo
mengi kwenye teknolojia ya vyakula na madawa (Boresa Traditional
Medicine Co.ltd) tunashauri kwamba sasa ndio wakati muafaka wa kurudi
kwenye matumizi ya bidhaa asili ambazo mababu na mabibi
zetu walizitumia,wakaishi miaka mingi,kwani kuna siri kubwa na nzuri
ajabu ambayo mungu ameiweka kwenye bidhaa asili,kwa sababu hiyo bidhaa
asili ni salama zaidi,na kwa kutokujua hilo,watu wengi wameendelea na
mapokeao ya kutukuza vyakula na dawa za kigeni na kuzinyanyapaa bidhaa
zetu za asili zawadi bora
tuliyopewa na mwenyezi mungu na kwa hiyo watu wengi wameendelea
kupoteza maisha kama neon la mungu lisemavyo watu wangu wanaam=ngamia
kwa kukosa maarifa!Hosea 4:6.
Biblia imeweka wazi
umuhimu wa matumizi ya bidhaa za asili kama tusomavyo katika
ezekieli47:12,Mwanzo1:29-31, ufunuo 22:2,Mathayo 3:4 nk. Pamoja na
changamoto zilizoko kwenye vyakula na madawa ya kemikali,Boresa
Traditional Clinic and Research Centre tunafurahi kuwafahamisha
watanzania tukianzia na mpendwa unayesoma taarifa
hizi,tumedhamiria kutoa mchango mkubwas katika kupambana na magonjwa
hayo kwa kadri mwenyezi mungu alivyotujalia kwa kuhakikisha dawa za
kukabiliana na maradhi hayo zinapatikana kwa wakato wote katika kituo
chetu kwa bei za jumla na reja reja.
Boresa tunashukuru sana
maafisa ugani Wizara ya maliasili na utafiti,Idara ya misitu na Nyuki
Mbeya,Dodoma,Singida na Ludewa,wafugaji wa nyuki wote na wadau wote wa
mazao ya nyuki kwa ushirikiano wanaotupa pamoja na kuelimisha jamii
umuhimu wa kutumia mazao ya nyuki kama lishe,kiinga na tiba,inatia moyo
kwamba sasa jamii imeshaanza kuelewa asali imeanza kupewa umuhimu
mkubwa katika maeneo mbalimbali nchini.Boresa Traditional Co.ltd
inapenda kutoa mwito kwa serikali,taasisi za dini,mashirika ya watu
binafsi,waunge mkono jitihada hizi za kupambana na maradhi,samabamba na
kuielimisha jamii juu ya ushuhuda wa dhati,kwa kila huduma asili
utakayoitumia na kupata matokeo chanya au hasi.
Mpendwa msomaji,ndugu
yetu na mtu muhimu kwetu,Boresa inaamini wewe umeungana na maelfu ya
watu waliopata huduma zetu,nawe utakuwa huru kusema ukweli juu ya
matokeo ya imani yako kwetu.Tunakualika katika maoni na ushauri kupitia
mawasiliano yetu tuliyoyaweka katika sehemu
ya mawasiliano,ili huduma hii isonge mbele na kuokoa maelfu ya
watanzania walio kata tama juu ya matatizo ya afya zao.
Tunayo mengi ya
kukueleza lakini kwa leo tunapenda kusihi hapa endelea kuungana nasi
katika tovuti hii,tunakutakia kila lakheri na bareaka za mungu
tukikukariubisha kutembelea kituo chetu cha boresa traditional Clinic
and Reseach Centre.
- Tupo Mbeya mjini,Sokomatola ndani ya Soko,karibu sana .
- Siku za kazi ni Jumatatu-Jumamosi saa 1.00 asubuhi hadi saa 12 jioni.
- Endapo unahitaji huduma kwa dharulka siku ya jumapili tupigie simu utahudumiwa.
- Kwa watu wanaoishi mbali na Mbeya tunatoa huduma kwa kutuma bidhaa kwa njia ya mabasi ya abiria au Posta
Tunafurahi zaidi kama
utatufikishia salam zetu au ujumbe huu muhimu kwa wapendwa,rafiki
zako,ndugu,jamaa na majiranio zako.Tiba asili ni sayansi ya asili
tuitumie inatoa mchango kwa zaidi ya asilimia 60 ya huduma ya afya
katika taifa hili.Ujumbe Piga vita mauaji ya Albino kwa kuepuka imani
potofu wote tunayo haki ya kuishi
Boresas It is the
centre which deals with,treatment of chronic diseases and Common
Deseases by the natural medicine,which it mixture of Plant’s
leaves,roots,flowers,seed and garlic and Honey.It also provide
counceling on how to avoid different deseased attacking human being.The
Counceling it help to protect body from being deseased and fo those who
suffering from diseases.
Her below are some of
the diseases we deal with:
- Heart
- Diabetes.
- Rheumatism.
- Cancer.
- Ulcers.
- Asthma.
- Kidney stone and liver
- Sexual transimitted Diseases (STD’s)
- Fungal Infection.
- Eyes Diseases.
- Tuberculosis (TB).
- HIV/AIDS.
- Sexual Debility.
- Fibroids.
- Breast Inflamation.
- Improper Menstrual Cycle.
- Chronic and Acute cough.
- Obesity.
- Oedema.
- Wounds.
- Ear pains.
- Bones Diseases etc.
“NONE OF US IS PERFECT;THE AL MIGHTY WHO IS PERFECT IS ABOVE
US ALL CREATURES ARE WEAK BEFORE HIM”
HE IS THE SUPREME
JUSTICE,AND HIS DIVINING POWER IS THERE FOR ALL TO SEE IT IS ONLY HIM
WHOM TO WORSHIP,HE IS ABOVE ALL-AMEN.
TIBA asilia
ni urithi uliorithiwa vizazi kwa vizazi tangu kuumbwa kwa ulimwengu ila
hutofautiana karne na karne na jamii hadi jamii,taifa hadi taifa nk.
Lakini lenmgo likiwa ni
kutumia dawa,lishe na mazoezi kuytaondoa mardahi katika mwili wa viumbe
hai,kituo chetu cha boresa ni miongoni mwa vitiuo bvichache vyenye
ushirikiano na vituo viongine,mashirika,taasisi, makampuni pamoja
na watu binafsi
Dawa zetu huandaliwa
katika hali ya usafi na mazingira salama,chini ya ushauri wa mamlaka
husika TFDA-Mkemia mkuu wa serikali.
Kituo chetu kinatoa
huduma kwa mujibu wa sheria ya tiba asili tiba mbadala,sheria namba 23
(2002) chini ya ATME hati No 087.