Top-ads

meri ya zama huko south korea watu 300 hawajapatikana mpaka sasa

By | 8:19 AM

Zaidi ya watu 300 bado hawajapatikana baada ya meli kubwa iliyobeba watu 459 kuzama huko South Korea ambapo sehemu kubwa ya watu waliokuwemo kwenye meli hiyo ni wanafunzi na walikuwa wanasafiri kutoka kwenye bandari ya Incheon kwenda kwenye kisiwa cha Jeju. 

Watu watatu wamesharipotiwa kufariki licha ya watu zaidi ya 300 kutoonekana na 13 wametolewa kama majeruhi huku uokoaji zikiendelea ambapo hadi habari hii inawekwa shughuli za uokoaji zinaendelea na watu wengi wanaokolewa kupitia madirisha huku chanzo cha ajali kikiwa hakijajulikana.



 MERI IKISAIDIA KUVUTA MERI ILIYO ZAMA ILI ISIENDELEE  KUZAMA ZAID



 WAZAMIAJI  WAKIENDELEA KUTAFUTA MIILI WA WATU WALIO KUWEMO KWENYE MERI



WAOMBOREZAJI WALIOKOSA MATUMAIN YAKUWAPATA NDUGUZAO 

 NAHODHA WA MERI ILIYO PATA AJARI KOREA KUSINI AOMBA RADHI(MSAMAHA)

 naodha wa meri iliyo pata ajari  akiojiwa na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari nakukili kuwa amekosa nakuomba msamaha kwa watu wote walio poterewa na nduguzao walio kuwemo kwenye meri hio.
 baadhi ya wazamiaji wakijadilia njinsi ya kuwa  nasua miili iliyopo ndani ya meri hiyo iliyo zama.
 bibi na babu wa moja wa mjukuu wao aliyopo kwenye meri iliyo zama wakitazama kwenye eneo latukio kwa kuangaliakama mjukuwao atatoka akiawa hai au amekufa .
                                                      uokoaji ukienderea kwenye eneo la tukio
baadhi ya ndugu wa watu waliokuwemo kwenye meri wakifuatilia jinsi uokoaji ukiendelea ndani ya maji 
Newer Post Older Post Home