MAELFU YA WATANZANIA KUMZIKA KANUMBA, MAMIA WAZIMA WAKATI WA MAZISHI
Baadhi ya waombolezaji wakiuaga mwili wa Steve Kanumba.
Mwili wa marehemu Steve Kanumba ukiwa katika Viwanja vya Leaders.
Mdogo wa marehemu aitwaye Seth Bosco (kulia) akiwa mwenye uso wa majonzi.
Viongozi wa serikali akiwemo Makamu wa Rais, Gharib Bilal (wa tatu kulia) wakisubiri kuwasili kwa mwili wa Kanumba.
Mke wa Rais, Salma Kikwete, akiwa msibani.…
Mmoja wa waombolezaji akisaidiwa na watu wa Msalaba Mwekundu baada yakuzirai.
Mama Mzazi wa Steve Kanumba, Bi. Flora Mgoa akiwa na Simanzi kubwa.
Irene Uwoya akilia kwa uchungu.…
Msanii Irene Uwoya akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuzimia.…
Waombolezaji wakilizuia gari lenye mwili wa marehemu
steve nyelele akiwa amebeba msalaba wa marehem
Maelfu wa wananchi waliohudhuria mazishi hayo wakielekea makaburini.
ili wa marehemu wakati wa safari ya kuelekea makaburini.…
wengine walilala makabulini kuusubiri mwili wa marehem kanumba kwa ajiri ya mazishi
hari ya usalama ilikua shwari kufuatiwa na wingi wa watu ulinzi ulihitajika ili kuweza uaga mwili wa marehemu
kwa amani
mama yake kanumba akifika makaburini