MSANII LULU AKAMATWA KWA KUHUSISHWA NA KIFO CHA KANUMBA AGOMA KUTOA MAELEZO POLISI MPAKA ATAKAPOFIKA MWANASHERIA WAKE.
Kutokana
na utata wa kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba The Great,mpaka sasa hivi
inadaiwa kuwa Lulu ndo atakua anajua kilichotokea chumbani kabla ya
kifo cha Kanumba, kwani walikua wote chumbani kama wapenzi, kabla ya
mwanadada huyo kumwita ndugu wa kanumba na yeye kutoroka,
Sasa
baada ya kukamatwa na Polisi, Lulu amegoma kutoa maelezo polisi mpaka
mwanasheria wake afike, na vile vile ameomba arekodiwe kila
atakachoongea ili ushahidi usije ukapindishwa.
So polisi hawana budi kusubiri mpaka mwanasheria wa Lulu atakapofika.
Kwa wakati huu Lulu na yule mwanaume aliyekamatwa nae wamewekwa chini ya Ulinzi mkali wa polisi.
Kwa wakati huu Lulu na yule mwanaume aliyekamatwa nae wamewekwa chini ya Ulinzi mkali wa polisi.