MSANII MASHUHURI WA TASNIA YA BONGO FILAMU(TANZANIA) AFARIKI DUNIA NI STEVEN KANUMBA THE GREAT R.I.P STEVEN KANUMBA
Habari
zilizonifikia now ni kuhusu Bongo Movie Star Steven Kanumba kuwa
amefariki dunia usiku wa kuamkia jana kwa kudondoka gafla na kukimbizwa hospital ya
Mwimbili na mauti yalipomkuta.
Baadae asubuhi ndipo ndugu walitoa taarifa rasmi juu ya kifo cha kanumba
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
Amen