TAARIFA ZILIZO TUFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA MWILI WA MAREHEM KANUMBA UTAZIKWA KESHO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI...MWILI KUAGWA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS. MAANDALIZI YA KUAGA MWILI YAENDELEA.
Mwili wa marehemu Steven Kanumba utachukuliwa kwa msafara kutoka Hospitali ya Taifa,
Muhimbili saa 2:30
asubuhi. Utapitishwa Barabara ya Umoja wa
Mataifa na Ali Hassan Mwinyi
hadi Viwanja vya Leaders Club,
Kinondoni ambako Misa ya kumuombea
itasomwa pamoja na
salamu mbalimbali kabla ya watu wote kumuaga.
Wito unatolewa kwa watu kujitokeza kwa wingi kuanzia saa 2:00
asubuhi,
wakijipanga kando ya Barabara za Umoja wa Mataifa na
Ali
Hassan Mwinyi ili wautolee heshima mwili wa Kanumba
wakati ukitolewa
Muhimbili kwenda Leaders Club.
Saa 3:30 asubuhi, mwili wa Kanumba utapokelewa Viwanja vya Leaders,
Saa 3:30 asubuhi, mwili wa Kanumba utapokelewa Viwanja vya Leaders,
ukitanguliwa
na mapokezi ya wazazi wake, viongozi mbalimbali wa serikali ambao juu
yao
kabisa atakuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dk. Mohamed Gharib Bilal.
Saa 4:00, itakuwa ni muda wa kusoma Misa ambayo itachukua dakika 60,
Saa 4:00, itakuwa ni muda wa kusoma Misa ambayo itachukua dakika 60,
saa 5:00 kitakuwa kipindi cha salamu kutoka kwa watu mbalimbali.
Saa 6:00 mchana, ratiba ya kumuaga Kanumba itaanza mpaka saa 9:00 alasiri na baada ya hapo,
Saa 6:00 mchana, ratiba ya kumuaga Kanumba itaanza mpaka saa 9:00 alasiri na baada ya hapo,
utakuwa wakati wa kuusafirisha mwili kwa
msafara kutoka Leaders Club
mpaka Makaburi ya Kinondoni, msafara ukipita
Barabara ya Tunisia,
utakatisha Barabara ya Kinondoni kuelekea
makaburini.
Saa 10:00 alasiri, mazishi yatafanyika kwa kufuata utaratibu wa imani ya marehemu.
Saa 10:00 alasiri, mazishi yatafanyika kwa kufuata utaratibu wa imani ya marehemu.
Wanakamati wa shughuli ya kuandaa mazishi ya marehemu Steven Kanumba wakijadiliana jambo katika Viwanja vya Leaders le
Maua yaliyoandaliwa na wanakamati hao.
Jukwaa la shughuli hiyo likiandaliwa.
Ujenzi wa jukwaa hilo ukiendelea.
Canter likisomba viti kwa ajili ya shughuli ya kesho.
NYUMBANI NAKO WATU WAFURIKA KUMUAGA THE GREAT,ITS ALL ABOUT THE BIG LOVE THEY HAVE

WHAT AN HONOUR!

MH JAKAYA MRISHO KIKWETE.
watanzania wapata faraja
kumuona rais wao msibani ..wasanii wasema thamani yao sasa wameitambua


PRESIDENTS SON MR RIDHIWAN KIKWETE..,
