Top-ads

By | 6:47 PM

Sebastian Ndege na Justice Ndege Wawasha Moto Jijini Dar na Kitu Cha Sky Light Parties

 Sebastian Ndege(kulia) akiwa na wadau.
   Justin Ndege (kushoto) akiwa na wadau wa Kampuni ya Sky Light Entertainment ambao ndio waandaaji wa SKYLIGHT Parties itakayofanyika jijini Dar es Salaam kila mwezi mara moja katika kumbi mbalimbali za jijini la Dar es Salaam.
  Warembo wakindaa Cocktail kwa Wageni waalikwa katika Pre Launch ya Skylight Parties iliyofanyika Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.
 DJ Too Short akifanya mixing za ukweli Nyumbani Lounge.
  Warembo wakiandaa Cocktail kwa Wageni waalikwa katika Pre Launch ya Skylight Parties iliyofanyika Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.
Newer Post Older Post Home