DAIMOND, MSANII MCHAPAKAZI NAMBA MOJA TANZANIA
Msanii
Abdul Naseeb a.k.a DIAMOND ndio ameibuka kuwa msanii chapakazi katika
kazi zake za mziki (hardworking). kupitia zoezi lililoanza kupitia
facebook baada ya kuuliza fans mchapakazi ni nani, niliibuka na majina
10 yaliyokua na kur anyingi na baadae kuyweka kupitia blog hii kwa siku
sita mfululizo ukipiga kura yako baada ya kupiga kura zako.
Diamond
amewaacha nyuma AY na FID Q kwa kupata kura 167, akifatiwa na AY kura
137 na watatu akiwa ni FID Q na kura 91 huku ALIKIBA akishika nafasi na
nne na kura 59 na tano ni LADY JAY DEE na kura 51