RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKUTANA NA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE NA ULINZI NA USALAMA NCHINI UINGEREZA NA KUTEMBELEA MAKAO MAKUU YA SMART PARTNERSHIP
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mqwenyekiti wa
Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe Edward Lowassa
baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika kikao maalumu
cha maandalizi ya mkutano wa Commonwealth Partnership for Technology
Management (CPTM) kwenye…

Management (CPTM) kwenye makao makuu ya CPTM inayojiandaa kwa mkutano
wake mkuu wa Global 2012 International Smart Partneship Dialogue
unaotarajiwa kufanyika mwezi Mei Mwakani jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika kikao maalumu cha
maandalizi ya mkutano wa Commonwealth Partnership for Technology
Management (CPTM) kwenye makao makuu ya CPTM inayojiandaa kwa mkutano
wake mkuu wa Global 2012 International Smart Partneship Dialogue
unaotarajiwa kufanyika mwezi Mei Mwakani jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London,
Uingereza, Julai 12, 2012.Picha na IKULU