TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI LILIVYO FWANA NDANI YA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR
CHAMELEONE AKIWARUSHA MASHABIKI WALIOFUNIKA UWANJA WA TAIFA USIKU WA MATUMAINI
Chameleone akiingia uwanjani kuwarusha mashabiki waliofurika Uwanja wa Taifa usiku huu.
Jose akiimba na maelfu ya wapenzi wa burudani waliofurika ndani ya Uwanja wa Taifa usiku huu.
Sehemu ya maelfu ya wakazi wa jiji la Dar waliokuwa wanafuatilia shoo hiyo.
---
Mwanamuziki mahiri kutoka nchini
Uganda, Joseph Mayanja 'Jose Chameleone' usiku wa leo amefunika vilivyo
katika Tamasha la Usiku wa Matumaini lililofanyika ndani ya Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam. Chameleone aliwarusha mashabiki kwa baadhi
ya nyimbo zake za zamani kama Mambo bado, Kipepeo na ile mpya iitwayo
Valu Valu inayopendwa na watu wengi hapa Bongo.B

Valu Valu inayopendwa na watu wengi hapa Bongo
WEMA SEPETU V/S JACQUELINE WOLPER KATIKA PAMBANO LAO LA MASUMBWI,HAKUNA MBABE YAN NI FULL BURUDANI
Mwamuzi akiamua mpambano uanze.
Wolper na Wema wakionyeshana ubabe.
Wema akipata mawaidha kutoka kwa mwalimu wake Rashid Matumla.
Waigizaji mahiri wa filamu nchini, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wametoka suruhu katika mpambano wao wa raundi 2 uliofanyika…