MISS Progress International 2010, Juliet William amegeukia sanaa ya
uigizaji baada ya kumaliza mradi aliokuwa akiufanya wa kuwasaidia
walemavu wa ngozi (albino).
Akichonga na Motomoto Newz, Juliet
alisema ameamua kuingia kwa asilimia mia moja kwenye gemu la uigizaji
kwa vile amegundua ndiyo fani inayolipa hasa akizingatia kuwa ana
kipaji.
Alisema kwa kuanzia anaandaa filamu yake inayokwenda kwa jina la Sister Juliet aliyomshirikisha Sylvia Shally.
“Nimeamua kujikita katika filamu kwa sasa, mradi wa kusaidia walemavu
wa ngozi nitaendelea nao baadaye. Kwa kuanzia nimeandaa filamu yangu ya
Sister Juliet nikicheza na Sylvia Shally,” alisema Juliet.
Top-ads
HABARI MOTO MOTO
Followers
Popular Posts
-
Zaidi ya watu 300 bado hawajapatikana baada ya meli kubwa iliyobeba watu 459 kuzama huko South Korea ambapo sehemu kubwa ya watu waliokuwe...
-
Rihanna ameingia matatani na mtandao wa Instagram baada ya kuweka picha hizi za uchi, alizopigwa kupamba gazeti la Lui. Mtandao huo ulii...
-
any word about the look ya huyu mrembo ?
-
PADRI AFUMANIWA LIVE NA MKE WA MTU AKIWA UCHI WA MNYAMA KANISA Katoliki Jimbo la Moshi limeingia katika kashfa nzito baada ya padri w...
-
Stori: Erick Evarist MAAJABU! Licha ya ulimwengu wa burudani Bongo kuamini kwamba staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ aliwahi kua...
-
Jarida la People limemtangaza Mkenya Lupita Nyong’o kama mwanamuke mrembo zaidi duniani mwaka 2014. Lupita ambaye alishin...
-
WANA UDOM CHAMBER WATOA ZAWADI YA PASAKA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA MIYUJI KILICHOPO MJINI DODOMA JANA Hii ni moja ya Pic...
-
Morning Africa,...SIKU YA LEO UPATAPO NAFASI,HEBU JARIBU KUFANYA MOJA YA HAYA NA UTAKUWA UMEBADILISHA MAISHA YA MTU FLANI. -Una mlinzi?...
-
FID Q ROCKS VODACOM WAJANJA MUSIC TOUR IN MTWARA Hundreds of Wajanja Music Tour fans in Mtwara were thrilled on Sunday evening by ...
-
HABARI zilizonaswa na mwandishi wetu zinaeleza kuwa nyota wa sinema Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, ameitwa katika Jiji la Dubai...

