Diamond Platinum akiwa na judges katika music video audition ya
kumtafuta model ambaye ataweza kufanya video mpya ya Diamond
Platinum.Zoezi ili lilifanyika leo mchana katika maeneo ya Nyumbani
lounge Jijini Dar es Salaam.
Diamond Platinum on inteview with George kutoka
clouds Television.
Diamond hapo akielezea sababu na dhumuni zilizomfanya mpaka afanye hivyo huyu hapa anafunguka kama dzain hii "
kusema
kweli nimeona umuhimu kwasababu unakuta pale msanii anapoamua labda
kufanya video mpaka aanze kutafuta watu lakini mimi nikaona kwanini ni
si ajili watu wa kunifanyia video zangu kama models na ndiyo maana leo
hii ni siku maalum ya kumtafuta yule ambaye ataweza kufanya video mpya
ya kwangu na pia kumuajili katika kazi zangu za muziki kwa hiyo pale
ninapoamua kufanya video ninakuwa ninajua kabisa nina watu kadhaa wa
kufanya nao video".Hayo ndiyo maneno ya Diamond wa wasafi akielezea
sababu na dhumuni la kufanya Music Video Audition leo maeneo ya Nyumbani
lounge jijini Dar es Salaam