MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI AONGOZA WASANII KUTOA MSAADA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA KIJIJI CHA MATUMAINI
Kutoka
kulia: Msanii Shetta, Simalenga, Sister Maria, Benjamini na watoto wa
kituo cha Kijiji cha Matumaini wakiwa na sehemu ya misaada hiyo.
Msanii Naseeb Abdul 'Diamond' akiongea machache wakati wa makabidhiano hayo.
Msanii wa Hip Hop, Joh Makini akiongea na watoto wa kituo cha Kijiji cha Matumaini.
Diamond akiwa kambeba mmoja wa watoto wa Kituo cha Kijiji cha Matumaini.