Top-ads

HONGERA SANA AY KWA KUMEIPEPERUSHA BENDERA YA BONGO FLEVA

By | 11:19 PM

EXCLUSIVE; AY IS A WINNER OF MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR "CHOMVA2012"


AY ndio msanii pekee kutoka TANZANIA (East Africa) aliyenyakuwa tuzo ya Channel O Music Video Award kwa mwaka huu 2012 katika kipengele cha MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni I DON'T WANT TO BE ALONE akiwa amewashirikisha wasanii kutoka Nairobi Kenya wanakwenda kwa jina la Sauti Sol.

HONGERA SANA AY KWA KUMEIPEPERUSHA BENDERA YA BONGO FLEVA
Newer Post Older Post Home