
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana
na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt, alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt, alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.

(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu-Zanzibar)