Top-ads

HAWA NDIO MBEYA CITY FC NA SHABIKI ZAKE WA UKWELIIII

By | 3:45 AM
Photo: Tuwaunge mkono vijana popote palePhoto: Hatimaye MCC FC yashiriki ligi kuu Tanzania kwa mara ya kwanza leo tarehe 24/08/2013. Katika mchezo wa kwanza ulipigwa leo katika uwanja wa Sokoine ulikua kati ya MCC FC na Kagera Sugar mpaka dakika 90 zinamalizika hakuna timu iliyopata goli, mchezo huo umeweza kushuhudiwa na watazamaji 4506.
Tunawashukuru mashabiki wetu kwakutuunga mkono, matumaini yetu tutafanya vizuri zaidi katika michezo ijayo.
Kikosi cha MCC FC kilikuwa:-
1. David Abdallah
2. John Kabanda
3. Hassan Mwasapili
4. Deogratius Deo
5. Yohana Morris
6. Antony Matogolo
7. Alex Seth
8. Steven Mazanda
9. Paul Nonga
10. Mwagane Yeya
11. Francis CastroPhoto: Ahsante mashabiki wetuPhoto: mkuu wa mkoa mh Abbas Kandoro na naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mrugo wakisalimiana na vijana wa kazi mbeya city fc mdamfupi kabla ya mechi yao na yanga.Photo: ndugu wananchi na mashabiki wa mbeya city fc bado jezi mzula na skafu tuendelee kuiunga mkono timu yetu ili iweze kufanya vizuri zaidi.Photo: hivi ndivyo simba walivyopumulia mashine uwanja wa taifa dar es salaam dhidi ya vijana wa mbeya city penati ilikataliwa asanteni mashabiki kujitokeza kwa wingi kushangilia timmu yenu FREDY JACKSON msemaji wa mbeya city.Photo: baada ya kiwango cha vijana wa mbeya city kumrisha waziri Mrugo aliamua kumwaga pesa palepale uwanjani milioni moja kuwafuta jasho vijana wa mbeya city fc
Photo: Mchana huu wa jumamosi tulivu tarehe 5/10/2013 ndani ya Arusha baada ya saa tatu zijazo Mbeya City Fc wanashuka dimbani dhidi ya Oljoro JKT Tuendelee na mshikamano tulionao ndugu mashabiki.Photo: ndugu mashabiki wa mbeya city kesho jumatano ni bonge la mechi dhidi ya costal union vijana wenu wanaomba mjitokeze kwa wingi kushangilia na kuwatia moyo ili ushindi ubaki home asanteni wandugu.
Photo: asanteni mashabiki kwa support yenu kwa timu yenu tunaahidi kufanyavizuri zaidi.Photo: ndugu mashabiki haya ni marekebisho ya taarifa iliyopostiwa kwenye ukurasa huu ya kuwa mechi kati ya mbeya city na costal union ni jumatano kesho, taarifa hii ilikosewa mechi hiyo itapigwa jumamosi ya wiki hii tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza tafadhali tujitokeze kwa wingi siku hiyo kuwaunga mkono vijana wetu asanteni.Photo: kesho kunakucha tena ndugu mashabiki wa mbeya city tunawakaribisha costal union mbeya ndaniya uwanja kumbukumbu sokoine tujitokeze kwa wingi kuipa support timu yetu
GREEEEEEEN CITY STAND UP ITS OUR TIME TO SHINE BY  JOHN JOXY

Newer Post Older Post Home