Wema Sepetu na Kajala walivyojirusha kwenye show ya uzinduzi wa ngoma ya Izzo B "tumogere", kabla ya usiku kumharibikia Kajala
By Alberto | 4:43 AM
Wema Sepetu akiserebuka kabla ya kuingia kwenye gari kuelekea kwenye show
Wema na Kajala wakiwasili Complex Club 71, Tegeta
Kajala akicheza ngoma za Taarab
Wema Sepetu na Kajala walivyojirusha kwenye shoo ya Izzo Bizness. Kajala ambaye alikua MC wa show hiyo, alikua amelewa na bahati mbaya aliumwa; kitu kilichomlazimisha kuondoka mapema. Wasanii wengine waliokuwemo kwenye show hiyo ni kama T.I.D, Vanessa “Vee Money” Mdee, AY, Mwana FA, Shetta Ze Don, Barnaba, Quick Rocka,na Jux Vutton
Wema naye akikata mauno kidogo kuonjesha mashabiki wake, huku Kajala akiwa amepunzika kwenye kochi. Kajala alikua amelewa na hakuwa anajisikia vizuri, aliondoka muda mchache baadae
Wema akimtunza msanii Jux; ambaye alimsifia kuwa alipendeza kuliko wanaume wote usiku huo