 |
Vurugu ziliendelea hadi usiku |
Kwa mujibu wa Radio One Stereo kumetokea vurugu kubwa
visiwani Zanzibar baada ya kikundi cha Muamsho kuukataa Muungano.
 |
FFU wakipambana na waandamanaji |
 |
Barabara zikiwa wazi kufuatia vurugu hizo |
Katika vurugu hizo zilizotokea jana/usiku wa kuamkia leo
kanisa na gari la Askofu limechomwa moto.
 |
Mingoni mwa magari yaliyochomwa moto |
Muamsho ni kikundi ya masheikh wa kizanzibar ambao mwanzo
walikuwa wanahubiri dini kama mihadhara na sasa wamejiingiza kwenye masuala ya
kisiasa.
 |
Wanawake nao waliungana na wengine kuandamana |
 |
FFU wa Zanzibar katika jitihada za kuzuia maandamano hayo |
Kufuatia maandamano hayo watu mbalimbali wa Tanzania bara na
visiwani wapo kwenye mjadala mzito kupitia Twitter kuhusiana na tukio hilo na
mustakali wa Muunguno.
”