Raz B wa B2K asema Chris Brown na Bow Wow ni ‘mashoga’
![]() |
Raz B |
Member wa
zamani wa kundi la B2K Raz B, ameandika kitabu ambacho kimezungumzia uchafu
wote uliopo kwenye muziki wa Marekani.
Kitabu hicho
kiitwacho This Boy’s Life kimechapishwa na Corona Sky Production.
Kabla ya kufikia hatua ya kukiandika kitabu hicho, Raz B alikuwa ameshawahi kuandika kwenye Twitter kuhusu ujio wa kitabu chake.
Raz B
anajulikana kwa tabia yake ya kuongea mambo mazito na hivi ndivyo alivyoandika:
Kuhusu Bow
Wow:
![]() |
Lil Fiz |
“Bow Wow alikuwa
mdogo kuliko sisi wote, lakini kampuni ilifikiria kuwa yeye kuwa karibu na (B2K)
lingekuwa jambo zuri. Sikuona mwenyewe lakini niliambiwa na Fizz kuwa yeye na Bow
Wow walikuwa na uhusiano. Sikufuatilia sana kipindi hicho. Baada ya muda ndo
nikaja kugundua kuwa Fizz hakuwa anadanganya. Mwaka 2005 tena Bow Wow na Omarion
wakawa hawatenganishwi. Baada ya kuwepo fununu kuhusu uhusiano wao Bow Wow aliamua
kusitisha uhusiano. Story za ushoga zilikuwa zikiharibu biashara ya Bow Wow.”
Kuhusu Chris
Brown:
“Wanasema
huwezi kujua nani anamjua nani. Chris Brown hakufikiria hilo aliponishambulia online.
Nina rafiki ambaye yupo karibu sana na kambi ya Chris ambaye aliniambia kuwa
Chris alikuwa na uhusiano na mwandishi chipukizi wa muziki Andre Merritt."
![]() |
Chris Brown |
"Hivyo Chris alipoanza kuwaita
watu ‘gay’ na ‘fags’ nikalitaja tu jina la Andre Merritt. Nilijua ilikuwa kweli
pale alipouziba mdomo wake.”
![]() |
Andre Merritt |