Top-ads

By | 3:51 AM

50 CENT ATANGAZA TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE.


.
Mkali wa Hip Hop kutoka Gorrila Unit 50 cent a.k.a Fifi ametangaza tarehe ambayo ataachia album yake inayoitwa “Street King Immortal”. Akiongea na waandishi alisema Street King Immortal iko tayari itatoka Novemba 13/2012 kupitia Shady/Aftermath/Interscope. Ametumia muda mwingi  na amekutana na mambo kibao mpaka ilipofikia inakaribia kutoka hajapata support kutoka kwa label yake ya Interscope Records katika project hii ya Street King Immortal.  Kwa sasa ameachia ngoma ya kwanza kutoka kwenye hiyo single inaitwa “New Day” akiwa na Dr. Dre na Alicia keys, Kuleta attention kwa ajili ya kuisupport album ya “Street King Immortal” aliachia mixtape ya 5 iliyofahamika kama “Murder By Numbers”. 
Newer Post Older Post Home