RAILA ODINGA AHAMASISHA WAKENYA KUMPIGIA KURA PREZZO
King
wa bling hatimae ameingia katika fainali za Bigbrother zitakazo fanyika
jumapili ya wikii hii, show imebakiwa na washiriki sita kwa sasa
walioingia fainali ambao ni , Prezzo, Lady May, Keagan, Wati na Talia.
kwa
mtazamo wa watu wengi inaonekana Prezzo yuko karibu sana na dola za
kimarekani 300,000 amabayo ndio atakazopata mshindi wiki hii..
katika
nchi 15 zinazohusika katika kupiga kura, kila kura ya nchi hizo
itahesabika kama kura moja kila nchi itakayopiga kura basi kura
itahesabiwa kama ni moja, kwahiyo mwenye kupata kura chache, atakosa
chance ya kurudi na mkwanja.
kampeni ya kupigia kura prezzo imeonekana kuongezeka speed baada ya waziri mkuu kenya kutweet