Top-ads

Breaking News: MSANII SAJUKI AFARIKI DUNIA ALFAJIRI YA LEO

By | 1:01 AM



Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI) enzi za Uhai Wake.
Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili.Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu
Newer Post Older Post Home