Mwimbaji wa muziki wa Pop kutoka Colombian anayefahamika kwa jina la
Shakira amejifungua mtoto wa kiume jana katika mji wa Barcelona.
Taarifa hizi tuliweza kuzifahamu baada Shakira na kuandika katika kupitia website na ujumbe aliyoandika ni huu hapa"We
are happy to announce the birth of Milan Piqué Mebarak, son of Shakira
Mebarak and Gerard Piqué, born January 22nd at 9:36pm, in Barcelona,
Spain.
The name Milan
(pronounced MEE-lahn), means dear, loving and gracious in Slavic; in
Ancient Roman, eager and laborious; and in Sanskrit, unification.
Just like his father, baby Milan became a member of FC Barcelona at birth.
The hospital
confirmed that the couple’s first child weighed approximately 6lbs. 6
ounces, and that both mother and child are in excellent health.
Shakira na mpenzi wake mcheza mpira
Gerard Piqué wameachia picha kadhaa zinazoonyesha uka uzito wake wakisherehekea ujio wa mtoto wao wakwanza
akiwa amevaa bikini top na sketi, huku boyfriend akiwa hana shati, picha inaonyesha ukaribu wao wakiwa wanasuburi ujio wa mtoto wao wakwanza wakiume
Picha hizi ambazo zilipigwa na Jaume Laiguana, zilitupiwa kwenye mtandao mara baada ya wawili hao kuamua kuungana na UNICEF ku host a virtual baby shower.

Shakira, 35, amefata nyayo za ma staa kama Demi Moore and Britney Spears, ambao walishawahi kupiga picha za namna hii wakati wa muda wa mwisho mwisho wa mimba zao.
Shakira na mchezaji huyu wa FC Barcelona
walikutana mwaka 2010, pale alipotokea kwenye music video ya Shakira,
(waka waka, this time for Africa) ambao ulikua ndio wimbo wa kombe la
dunia.