Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipongezana na Balozi wa China nchini Tanzania, Lu Youqing,
baada ya kuzindua rasmi Taasisi ya 'Confucius' ya Chuo Kikuu cha Dodoma,
ambayo ni maalumu kwa ajili ya kufundishia Lugha na Tamaduni za
Kichina. Uzinduzi huo umefanyika leo Aprili 28, 2013 Chuo Kikuu cha
Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Dodoma, Prof.
Idris Kikula, wakati akitembele kukagua majengo ya Taasisi ya
'Confucius' ya Chuo Kikuu cha Dodoma, ambayo ni maalumu kwa ajili ya
kufundishia Lugha na Tamaduni za Kichina, baada ya uzinduzi wa Taasisi
hiyo uliofanyika leo Aprili 28, 2013 Chuo Kikuu cha
Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipata maelezo kuhusu Lugha na Tamaduni za Kichina, kutoka kwa
Mkuu wa Taasisi ya 'Confucius', Zheng Xueyu, wakati wa hafla ya uzinduzi
wa Taasisi hiyo ya Chuo Kikuu cha Dodoma, ambayo ni maalumu kwa ajili
ya kufundishia Lugha na Tamaduni za Kichina. Uzinduzi huo umefanyika leo
Aprili 28, 2013 Chuo Kikuu cha Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifurahia michoro ya picha zinazochorwa na wanafunzi wa Taasisi
ya Confucius inayotoa elimu ya Lugha na Tamaduni za Kichina, wakati wa
hafla ya uzinduzi wa Taasisi hiyo ya Chuo Kikuu cha Dodoma. Uzinduzi huo
umefanyika leo Aprili 28, 2013 Chuo Kikuu cha Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikagua ujenzi wa Chuo cha Afya cha UDOM.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya 'Confucius'
ya Chuo Kikuu cha Dodoma, ambayo ni maalumu kwa ajili ya kufundishia
Lugha na Tamaduni za Kichina. Uzinduzi huo umefanyika leo Aprili 28,
2013 Chuo Kikuu cha Dodoma
Picha ya pamoja
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya Lugha ya Kichina, mmoja kati
ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Jamillah Dauda, wakati wa hafla
ya uzinduzi wa Taasisi ya 'Confucius' ya Chuo Kikuu cha Dodoma, ambayo
ni maalumu kwa ajili ya kufundishia Lugha na Tamaduni za Kichina.
Uzinduzi huo umefanyika leo Aprili 28, 2013 Chuo Kikuu cha Dodoma.
Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo cha Dodoma, Prof. Idrs Kikula.