P-Square ni mwendo wa private jet tu!
![]() |
Private Jet ya P-Square |
Safari hiyo ilianzia Cameron, wakaenda Congo na kisha kwenda
Afrika kusini.
Katika miongoni mwa picha ziliwekwa twitter na Peter ameandika “Jetting privately... Thanks to God and the FANS. U all made it possible.” Na nyingine ameandika “Baba God done settle us... I no go lie”
Ama kweli vijana mshiko wanao.
![]() |
Hotelini Afrika Kusini |